Mix

Mtanzania mwingine aliyewahi kutajwa na Forbes kwenye “20 young power women in Africa”.

on

forbes
Forbes.com wanasema kwamba listi hii ya hawa wanawake ni wenye umri mdogo lakini wanafanya mambo ambayo yanaweza kubadilisha bara la Africa.

Kwenye hii list walitajwa wanawake wafanyabiashara maarufu  ndani ya bara la Africa,wanasiasa,waigizaji na wengine kutoka kwenye sekta mbalimbali.

Wanawake hao ni kama Isabela Dos Santos(mfanyabiashara tajiri wa Angola $3.5 Billion),Lupita Nyong’o(Muigizaji anayefanya vizuri huko Hollywood),Vera Songwe(Director wa World Bank, Senegal) na wengine ambao wanamafanikio makubwa kwenye kazi zao

Mtanzania pekee aliyetajwa kwenye hii listi ni Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki mbunge wa viti maalum kupita Chama cha Mapinduzi.

Listi hii ilikua ya mwaka 2013 na mwaka 2014 inategemewa kutolewa listi nyingine na tusubili kuona kama kuna sura mpya kutoka Tanzania itakayoingia.
kairuki
kairuki2

Tupia Comments