Habari za Mastaa

VideoMPYA: Edu Boy katuletea hii video mpya akiwa na Barnaba

on

Rapper Edu Boy time hii ametuletea hii video mpya ya single yake iitwayo Nimejifunza aliyomshirikisha Barnaba,ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

ULIIKOSA HII YA WEMA SEPETU KUHUSU KUMPOST DIAMOND INSTAGRAM BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments