Habari za Mastaa

Time kuenjoy hii single mpya kutoka kwa Timbulo akiwa na Malaika…

on

Msanii Timbulo leo July 12, 2016  ametosogezea hii single mpya iitwayo ‘Ngomani’ aliyomshirikisha Malaika, unweza ukabonyeza HAPA kuusikiliza wimbo huo.

Ukishamaliza kuisikiliza single hiyo mpya sio mbaya ukituachia na comment yako ili mkali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.

ULIIKOSA HAYA MANENO YA Q CHIEF KUHUSU ANACHOFANYA DIAMOND PLATNUMZ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments