Ni Mei 13, 2016 ambapo Mshindi wa BBA 2014 & Mchekeshaji, Idris Sultan aliungana na wakali wa kuchekesha kwenye show iliyopewa jina la Funny Fellas ambayo ilifanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo ila unaweza pia ukasubscribe channel kwenye youtube yenye jina la ‘Millardayo’ ili kupata video ya tukio hilo nitakuwekea soon.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIIKOSA HII YA JK COMEDIAN: UTANI KUHUSU VIDEO YA ‘CHURA’ ILIYOFUNGIWA ITAZAME HAPA