Shakila Said Hamis… Jina lake lina uzito mkubwa sana kwenye muziki wa Taarab anafahamika kama miongoni mwa wasanii waliotamba miaka kadhaa na hits single ikiwemo Kifo cha mahaba, Mapenzi yamepungua na nyinginezo.
Mnamo Auguast 19, 216 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa filamu na Muziki nchini, kuhusiana na taarifa ya kufariki kwa nguli huyo wa muziki wa Taarab, kaa karibu millardayo.com & Ayo TV tunaendelea kufuatilia kuhusiana na taarifa hizo.
Unaweza ukabonyeza play kuona hii interview aliyowahi kuhojiwa kwenye kipindi cha Danga Chee
ULIIKOSA HII VIDEO YA AJALI YA GARI DOGO NA LORI ILIYOTOKEA KATI YA MATAA YA MLIMANI CITY NA TCRA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA