Premier Bet SwahiliFlix Ad Vodacom Ad

AyoTV

Uzalendo kauweka mbele Haji Manara, kuna hili la kufahamu kuhusu KMC na Azam FC

on

Afisa habari wa Simba SC Haji Manara wakati akiongea na waandishi wa habari kuelekea mchezo wao wa marudiano wa Simba SC dhidi ya UD Songo ya Msumbiji, ameweka wazi kuwa kwa suala hili tunapaswa kuungana kama taifa kwani lina maslahi kwa nchi na sio timu.

Manara ameweka wazi kuwa ushiriki wa timu nne za Tanzania katika michuano ya kimataifa ni muhimu mno na tunapaswa kuzisapoti timu zetu kuanzia ndani na nje ya uwanja, kwa kuanzia Manara ameomba watanzania wajitokeze kuzisapoti pia Azam FC na KMC kwani zinacheza siku tofauti.

VIDEO: Haji Manara kafunguka, vipi kaondolewa Simba SC?

Soma na hizi

Tupia Comments