AyoTV

EXCLUSIVE: Mzazi mwenza wa Bob Junior kaolewa? majibu yako hapa

on

Msanii na mtayarishaji wa muziki kutoka Sharobaro Record, Bob Junior kupitia Ayo TV kayatoa ya moyoni kuhusu mzazi mwenza kuolewa na mtu mwingine visiwani Zanzibar.

Kupitia Ayo TV msanii huyo alifunguka na kusema…’Mama wa matoto wangu kapata riziki kaolewa na mtu mwingine kwahiyo tulivyoacha ndo kaolewa kwasasa mtoto anapata huduma kwa mama, kila jambo ni riziki kwa Mungu naweza nikaumia kuwa mbali na familia ila ndio inashatokea’– Bob Junior

Kuna wakati nikihitaji kumuona mtoto wangu natuma nauli au mimi mwenyewe naelekea Zanzibar kwenda kumuona mwanangu kwani kuna umri ambao mtoto anatakiwa akae na mama muda fulani apate malezi bora’– Bob Junior

ULIIKOSA HII YA BOB JUNIOR KUKAMATWA NA KULALA POLISI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments