Habari za Mastaa

AudioMPYA: Feza Kessy katuletea hii single yake mpya Walete

on

Ujazo wa jina lake uliongezeka Tanzania na Afrika baada ya kutokea kwenye shindano la Big Brother Africa, baada ya hapo akarudi shule Afrika Kusini na sasa amerudi nyumbani Tanzania, kazi yake nyingine ni utangazaji na muziki.

Sasa leo August 24, 2016 ameachia single mpya iitwayo WALETE unaweza unabonyeza HAPA Kuusikiliza wimbo huo mpya.

ULIIKOSA HII BIRTHDAY PARTY YA RAYMOND WA WCB BASI ITAZAME HII VIDEO

Soma na hizi

Tupia Comments