Mix

Sahau za mwanzo, hizi ni picha 5 za Mbunge Zitto Kabwe kufunga ndoa…

on

Ni July 14, 2016 ambapo Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe ameingia kwenye headlines za kuuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili iliyopita, ndoa na tafrija zote zimefanyika Zanzibar.

Hapa nina picha 5 za kutoka kwenye eneo la tukio hilo

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

ULIIKOSA HII FILAMU YA SHOBO DUNDO, MUME KAENDA KAZINI ALAFU MKE KALETA MCHEPUKO NYUMBANI? BONYEZA PLAY UITAZAME HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments