Habari za Mastaa

Tutarajie kazi mpya ya filamu kutoka Mama Kanumba, majibu yako hapa

on

Kampuni ya usambazaji wa filamu nchini, Steps Entertainment imeipa heshima millardayo.com na Ayo TV kueleza kazi mpya waliyopokea kutoka kwa Bi. Flora Mtegoa (Mama Kanumba)

Akizungumza meneja  Masoko wa Steps Entertainment, Kambarage Ignnatus kayaongea haya>>Mama tayari hata juzi tulikuwa nae anasema ana kazi mpya kwahiyo kuna vitu ambazo ameambiwa alete script ili tuhakikishe kazi yake inakuwa nzuri sokoni pamoja na bajeti’

Hii filamu ina maana itakuwa ya tatu baada ya Kanumba kulikuwa na Malaika kuna filamu nyingine lakini Mama kuna Without daddy hakuwa producer yeye lakini hii itakayokuja atahusika kama mtayarishaji wa filamu kwahiyo kazi ikiwa tayari tutaileta kwenu mashabiki wa filamu’- 

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Meneja Masoko alichokizungumza kuhusu kazi za Mama Kanumba

ULIIKOSA HII VIDEO ALICHOKIZUNGUMZA MAMA KANUMBA BAADA YA MIAKA MINNE YA KIFO CHA MWANAE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments