Habari za Mastaa

VIDEO: Shilole kufanikisha hiki ili asiabike atakapokutana na Beyonce….

on

Perfect Crispin ni mtangazaji wa Clouds FM ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva, ambapo leo July 12, 2016 ametusogezea hizi stori tatu ikiwemo ya Shilole kutafuta mwalimu wa kumfundisha lugha mbalimbali.

Ni kweli nataka nirudi darasani nisome lugha ya kingereza kwani ni lugha ambayo imekuwa ikinipa changamoto nyingi mno, kwa sasa ndo niko kwenye mchakato kwani unajua mwisho wa siku sitaki niaibike pale nitakapokutana na wakina Beyonce kwahiyo hii ni heshima kubwa kwenye muziki wetu wa Bongo Fleva’- Shilole

ULIIKOSA HII YA SHILOLE ALIVYOFAANYA PARTY ISIYO NA JINA HOME KWAKE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments