Habari za Mastaa

Uongozi wa Mzee Yusuf umeongea haya kuhusu ujio wa album mpya..

on

 

Aliyekuwa nguli wa muziki wa Taarab, Mzee Yusuf kuchukua headlines kwenye mitandao mbalimbali kutangaza kustaafu kujihusisha na sanaa.

Sasa leo August 24, 2016 tumempata meneja wa msanii huyo na kueleza ujio wa album mpya ya mwisho inayotarajia kutoka hivi karibuni>>>Kwanza tunatarajia kufanya Press Conference na waandishi wa habari, pili kitu ambacho ningependa kuwaambia mashabiki wa Mzee Yusuf kwamba mwezi huu tarehe 28 tutazindua allbum mpya’- 

Tulikubaliana na Mzee Yusuf kwamba hii itakuwa ni ya mwisho kwasababu tulikuwa tayari tumeshaingia mkataba na kampuni inayohusisha kusambaza, album hiyo itakuwa na nyimbo sita kali’- Meneja wa Mzee Yusuf

Unaweza ukabonyeza Play kumsikiliza Meneja wa Mzee Yusuf

ULIIKOSA HAYA YA FLORA MVUNGI KUHUSU ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM KUMTUKANA MTU BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA UONE ALICHOKISEMA

Soma na hizi

Tupia Comments