AyoTV

Noma!!Weusi walivyoliamsha kwenye jukwaa la fiesta Arusha 2019

on

Ni Headlines za wakazi wa mkoa wa Arusha ambapo October 26, 2019 walipata burudani ya nguvu ya Fiesta 2019 iliyofanyika katika Sheikh Amri Abeid, miongoni waliotoa burudani ni kundi la muziki wa Hip Hop Weusi.

Itazame hapa video walivyotoa burudani kali

ULIIKOSA HII YA MKONGWE JAY MOE ALIVYOPANDA JUKWAA LA FIESTA ARUSHA 2019

Soma na hizi

Tupia Comments