AyoTV

Binti Mtanzania wa miaka 20 aliyelipwa BILIONI 1 Ufaransa kwa dili moja

on

Herieth Paul ni Binti Mtanzania mwenye umri wa miaka 20 tu lakini jina lake limekua kubwa kila kukicha nchini Marekani akiwa ni Mwanamitindo mwenye umri mdogo lakini amepiga hatua kubwa kwenye kazi ya Uwanamitindo, bonyeza play kufahamu zaidi kwenye hii video hapa chini…..

ULIPITWA?: Bonyeza play hapa chini kumsikia Mtanzania aliyefungwa China alivyoibia simu Gerezani na kumpigia Millard Ayo

VIDEO: Bilionea Mtanzania anaejenga kijiji cha nyumba 1500 Kigamboni, tazama hapa chini kwenye hii video

Soma na hizi

Tupia Comments