Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

Kilichojiri Buckers baada ya RC Makonda kusema ‘Vinywaji viuzwe Nusu Bei’ (+video)

on

Baada ya siku kadhaa zilizopita Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alisema Baa za Dar es salaam zitauza pombe nusu bei kama Taifa Stars watawashinda Uganda kwenye mechi ya jana iliyofanyika katika uwanja wa Taifa.

Sasa kati ya zaidi ya Bar 40 zilizofanya mauzo ya Nusu Bei baada ya ushindi,  Ayo TV imekusogezea hii ya ‘Buckers BAR’ kujionea kile kilichojiri unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video hapa

Soma na hizi

Tupia Comments