Burudani

VIDEO:Shangwe la Harmonize alivyoimba UNO mbele ya Burna boy

on

NI Headlines za msanii wa Nigeria, Burna boy ambae usiku wa kuamkia leo alitoa burudani ya nguvu na kisha akampandisha msanii wa bongo flevaharmonize jukwaani kuimba live wimbo uitwao UNO.

Itazame hii video hapa ujionee shangwe la Harmonize mbele ya Burna boy

ULIIKOSA BALAA LA BURNA BOY NA HISTORIA ALIYOTENGENEZA BONGO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

UTAIPENDA HARMONIZE NA BURNA BOY WAKIIMBA LIVE KAINAMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments