Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023
Share
Notification Show More
Latest News
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
September 22, 2023
Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023
Mix

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

January 21, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mbunge wa jimbo la Monduli Fredy Lowassa amesema ili kuendana kasi ya  mabadiliko ya teknolojia duniani na mabadiliko ya tabia nchi jamii za kifugaji hazina budi kuwekeza katika elimu kwa watoto wao.  

Fredy amesema kwa hali ilivyo sasa ni lazima jamii ya wafugaji kubadilika na kijikita kuekeza katika elimu na kuachana na dhana ya kuwa na idadi kubwa ya mifugo kutokana na changamoto ya  ardhi ambayo haiongezeki lakini idadi ya watu ikiongezeka.

Fredy ametoa wito huo wilayani Monduli mkoani Arusha wakati akikabidhi vifaa mbalimbali kwa wanafunzi waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2023  katika shule mbalimbali wilayani humo kama jitihada mbunge huyo kuahakikisha wanafunzi wote waliofaulu wanajiunga na elimu ya sekondari.

Aidha Freddy amewataka wananchi wa Monduli kuenzi mawazo ya waziri mkuu msataafu Edwad Lowasa ambae ni mwasisi wa shule za kata kwa kuwatendea haki watoto wa jamii ya kimaasai kwenda shule.

You Might Also Like

Mradi wa Umeme wa Upepo wa Zanzibar wapamba moto

Joe Biden atuma salamu za pole kwa Mfalme wa Morocco

Rais Samia azindua ujenzi wa soko la Kizimkazi

EWURA yaridhishwa na kazi ya utengenezaji matela ya kusafirishia mabomba ya EACOP

NIC washinda tuzo 7 ndani ya mwaka 2023

TAGGED: habari daily
Rama Mwelondo TZA January 21, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Dani Alves awekwa ndani Jaji azuia dhamana
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 22, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
Sports September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
Sports September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
Top Stories September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta

September 22, 2023
Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?