Habari za Mastaa

#Freestyle nd’o collabo iliyowakutanisha wakali wawili Nigeria kwenye hii video.. Ice Prince & Iyanya

on

IyanyaIce Prince ni mkubwa mwingine kwenye muziki AFRIKA.. Jamaa tumemsikia kafanya poa sana kwenye collabo ya mrembo wetu BONGO, Jokate Mwegelo #Kidoti.

Basi collabo nyingine iko kwenye headlines, burudani nzuri ya muziki wa wakali wawili toka Nigeria, Ice Prince na Iyanya, wimbo unaitwa ‘Freestyle’ .

Kwani bado hujaicheki hii? Play hapa..

millardayo.com ndio sehemu yako kuzipata story zote mtu wangu, unaweza kuwa karibu zaidi na mimi kwa kujiunga kwenye Facebook, Twitter na Instagram pia zitakufikia zote mtu wangu, jiunge hapa >>>twitter Insta Facebook

Soma na hizi

Tupia Comments