Habari za Mastaa

Mdundo mpya wa French Montana umekupita? ‘To Each His Own’ imenifikia karibu uitazame hapa. (Video)

on

LOS ANGELES, CA - JUNE 30: Rapper French Montana poses in the press room during the 2013 BET Awards at Nokia Theatre L.A. Live on June 30, 2013 in Los Angeles, California. (Photo by Alberto E. Rodriguez/Getty Images for BET)

Imepita muda kidogo toka French Montana adondonshe mixtape yake ‘Casino Life 2: Brown Bag Legend ‘ lakini good news ni kwamba msanii huyu wa Hip Hop bado ana vitu vizuri kwa ajili yetu.

montana

Baada ya collabo yake na msanii mkongwe wa R&B Mariah Carey, French Montana amerudi kuziweka headlines zake kwenye ukurasa wa hiphop na time hii ameileta hii mpya kabisa aliyoipa jina ‘To Each His Own’ ngoma inayotoka kwenye mixtape yake mpya.

Video yake imenifikia mtu wangu na kama hukufanikiwa kukutana nayo basi karibu uitazame hapa chini.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments