July 27 2016 Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Iringa ilitoa hukumu ya kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanahabari wa kituo cha Television cha chanel Ten, Daud Mwangosi.
Mahakama hiyo imemuhukumu kwenda jela miaka 15 mshtakiwa wa mauaji hayo, askari wa polisi kikosi cha kutuliza ghasia ‘FFU’ Pacificius Simon.
Sasa hapa nimenasa alichokiongea Mjane wa marehemu Daudi Mwangosi…>>>Nawapenda kuwatia moyo msiwaongo songeni mbele kwani Mungu yuko pamoja nanyi, kama mlivyopigania mpaka kufikia siku ya hukumu na mahakama imeamua kwahiyo ndivyo hivyo hivyo Mungu atawapigania- Daudi Mwangosi
ULIKOSA HII AJALI YA TRENI NA BASI LA UDA JULY 26 2016 DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI