Habari za Mastaa

Ukimya wa collabo ya Shilole na msanii wa Nigeria, majibu yako hapa….

on

Najua nina watu wangu ambao watakuwa na maswali mengi juu ya ile ya collabo ya Shilole na staa kutokea Nigeria, Selebobo sasa basi millardayo.com imempata Shilole na kufafanua zaidi juu ya ukimya wa collabo hiyo.

Collabo yangu mimi na Selebobo wimbo upo tayari sema tu kilichobaki ni upande wa video kwahiyo nilikuwa namuuliza kuhusu mapendekezo yake ya location tutakapofanyia hiyo video mpya akapendekeza Nigeria itakuwa ndio location kwahiyo nasubiri tu nikimaliza tamasha la Fiesta nitaenda Nigeria kwaajili ya maandalizi ya video hiyo mpya’-

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Shilole akiongea collabo hiyo

ULIIKOSA HII BIRTHDAY PARTY YA DJ WA DIAMOND PLATNUMZ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments