AyoTV

Bob Junior kayaeleza haya kwa wasanii waliokuwa Sharobaro Record…

on

Msanii na mtayarishaji wa muziki kutoka Sharobaro Record, Bob Junior kupitia Ayo TV kayatoa ya moyoni kuhusiana na wasanii waliokuwaga chini ya Sharobaro Records.

Staa huyo aliipata heshima millardayo.com & Ayo TV na kuyaongea haya>>>Kwanza kabisa sina ubaya na msanii yoyote niliyokuwa nikifanya nao kazi mpaka kesho wakija nitaendelea kufanya nao kazi na kuna baadhi ya kazi zipo tu siku wakiamua watazitoa, na sababu ya kukaa kimya kwa kipindi cha nyuma  nilikuwa nikiboresha kazi zangu kuna vitu vingi vinakuja’Bob Junior

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video hapa uone alichokiongea Bob Junior

ULIIKOSA HII BIRTHDAY PARTY YA DJ WA DIAMOND PLATNUMZ ILIVYOHAPPEN BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments