Habari za Mastaa

Steve Nyerere ana ungana mkono ulipaji kodi wa filamu?

on

Kama utakuwa unakumbuka hivi karibuni Serikali ilijipanga kuongeza kodi kwa kazi za filamu na muziki zinazotoka nje na kuingizwa nchini.

Miongoni mwa wasanii walioguswa na kauli hiyo ni Steve Nyerere ambaye kupitia millardayo.com kayaogea haya….>>Nafurahi Mheshimiwa Nape na wizara yake wameanza kuzifungia hizi filamu za nje kwahiyo kwa upande wetu watuvumilie kidogo tujipange tuzuie hizi filamu za nje ili filamu za ndani zifanye tupate muamala mzuri wa fedha kumkata kodi itakuwa sio tatizo‘- Steve Nyerere

ULIIKOSA HII YA STEVE  NYERERE KULISHWA SUMU NA ALICHOHISI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments