AyoTV

Vituko vya Pierre mpaka nyumbani kwa Ommy Dimpoz kampelekea matunda(+Video)

on

Pierre mzee wa Liquid Leo March 27, 2019 alikwenda nyumbani kwa Ommy Dimpoz halafu akacheza na ngoma mpya ya Ommy iitwayo YouareTheBest na kumpelekea matunda baada ya kusikia Ommy alikuwa akifurahishwa na video zake wakati akiwa hospital Ujerumani.

Unaweza ukaitazama hii video ujionee Pierre alifika nyumbani kwa Ommy Dimpoz

Soma na hizi

Tupia Comments