Siku zote changamoto ni kama sehemu ya maisha inayomkuta kila binadamu, sasa mchekeshaji Stan Bakora leo August 12, 2016 kakubali kueleza scene ambayo ilimpa ugumu kwenye uigizaji.
Staa huyo akizungumza na millardayo.com & Ayo TV aliyaongea haya>>>Scene ambayo ilikuwa ngumu kwa upande wangu ni ile nilikuwa nmeshoot clip ya adhana nilidhani imepigwa msikitini kumbe imepigwa na mtu’
Nakumbuka nilikunywa maji mengi sana kila nilipokuwa nikiirudia basi lazima ninywe maji yaani tulitumia kama lisaa limoja na nusu kushoot hicho kipande’– Stan Bakora
Unaweza ukabonyeza play kuitazama scene ambayo ilimpa ugumu Stan Bakora kwenye uigizaji
ULIIKOSA HII YA ZAWADI TANO ATAKAZOPATA MSHINDI WA SINGELI DAR BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA