Habari za Mastaa

Ngoma 5 za Bongo Fleva anazozikubali DJ Fetty mwaka 2016

on

Ni August 11, 2016 ambapo aliyekuwa mtangazaji na Deejay Clouds Media Group, Fatma Hassan aka Dj Fetty aliweza kutaja list ya ngoma 5 kali anazozikubali kupitia Clouds TV.

Unaweza ukabonyeza PLAY kuziona ngoma tano za DJ Fetty anazozikubali 2016

ULIIKOSA HII YA SABBY ANGEL KUELEZA FILAMU ATAKAYOENDA KUCHEZA NA STAA WA NIGERIA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments