Habari za Mastaa

Kuhusu baba wa mtoto wa Hamisa Mobetto, Soudy kaongea na Mama Hamisa…

on

Kwenye U heard ya XXL ya Clouds FM leo August 11, 2017 mtangazaji Soudy Brown amepiga stori na Hamisa Mobetto na mama mzazi wa Hamisa baada ya kujifungua mtoto wa kiume huku ikidaiwa kuwa mtoto huyo ni wa mwimbaji Diamond Platnumz.

Soudy Brown ameongea na mama Hamisa ambaye hakuweza kumaliza mazungumzo baada ya kukata simu na baadaye Soudy alimpigia Hamisa.

>>>”Nikusaidie nini? Tunaendela vizuri na mtoto mchanga na mama yupo mzima kabisa. Alijifungua kawaida si mwanamke. Soudy umenipigia kuniuliza Hamisa kazaaje ama? Sisi tupo Mbagala kwa mama yangu. Kwa leo siwezi kuongea muda ukifika nitaongea”. – Mama Hamisa.

“Soudy achana na mimi.” – Hamisa Mobetto.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza FullStory..

NAWAL AFUNGUKA: Baada ya kuachana na Mziwanda na kuolewa na mwingine 

Soma na hizi

Tupia Comments