Habari za Mastaa

Maandalizi ya Serengeti Fiesta 2014 Tanga.

on

13tngHuu utakua mkoa wa 4 kwenye list ya miji 18 ambayo watapata nafasi ya kuonja utamu wa Serengeti Fiesta 2014,ilianzia Mwanza ikafuata Bukoba ikasogea hadi Kahama na sasa ni zamu yao Tanga.

Tanga itakua ni Jumamosi hii August 23 kwenye viwanja vya Mkwakwani,hizi ni shamra shamra za Serengeti Fiesta ambapo Clouds Fm iko live kutokea hapa wakiongozwa na Adam Mchomvu,Gea Habib na Bonge.

5tng

3tng

17tng

15tng

18tng

24tng

25tng

27tng

31tng

36tng

1tng

28tng

Tupia Comments