Habari za Mastaa

Staa mwingine iliyemtokea ishu kama ya Diamond Platnumz

on

Baada ya Staa wa Bongo kuweka wazi kwamba amezaa na Mwanamitindo Hamisa Mobetto gumzo limeendelea kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ndani na nje ya nchi huku mastaa mbalimbali wakimpost Diamond na kumsifia kwa kitendo alichokifanya.

Suala hili limefananishwa na kile alichofanya mchekeshaji wa Marekani Kevin Hart ambaye pia hivi karibuni amekiri kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwingine na kumsaliti mkewe.

Ulipitwa na hii?Huyu ni Hamisa Mobetto na Diamond Platnumz kitandani?

Hii je? Sentensi 20 za Faiza Ally kuhusu Mbunge Sugu, mtoto, anamdiss?

Soma na hizi

Tupia Comments