Michezo

Full Time za game nne kubwa zilizochezwa kwenye ardhi ya Tanzania March 19 2016

on

Kwenye game ambazo zimechezwa leo kwenye ardhi ya Tanzania Full Time ya Coastal Union vs Simba SC ilikua 0-2 wakati Stand United vs Ndanda ilikua 1-1 na Majimaji FC vs Mbeya City ilikua 3-1 na game ya Yanga vs APR ya Rwanda ikawa 1-1.

Yanga ambao wanaiwakilisha Tanzania bara kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika wamesogea kwenye round inayofata baada ya ushindi wao dhidi ya APR (Aggregate 3-2

Yanga 1

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments