AyoTV

VIDEO: Sababu za Jokate kuendelea kuishi na wazazi mpaka leo

on

Ni mrembo kutoka Tanzania, Jokate Mwegelo ambae leo Sept 23, 2016 kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM amfunguka sababu za kuendelea kuishi na wazazi wake.

Mrembo huyo akizungumza kwenye kipindi hicho aliyaongea>>>>Kwasababu mimi ni mtoto wa kike unajua mazingira  ya mtoto wa kike akikaa na familia ni vizuri sana kujifunza vitu vingi kabla ya kuenda kuishi mwenyewe lakini niko huru sana sibanwi kama ambavyo watu wanavyofikiria’

ULIKOSA HII YA JB BAADA YA KUSTAAFU KUIGIZA BOONGO MOVIE? UNAWEZA  KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments