Mix

PICHA 14: Muonekano wa baadhi ya vituo vya mafuta vilivyofungwa na TRA, DSM

on

Vituo vingi vya mafuta vimefungwa baada ya ukaguzi unaoendelea ambao unafanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’ kuangalia kama vinafuata sheria na taratibu za kutumia mashine za kutolea risiti za kielektroniki maarufu kama EFPP zilizofungwa moja kwa moja kwenye pampu.

Unaambiwa vituo vya mafuta ambavyo havifuati sheria na taratibu kama walivyotakiwa kufanya vinafungiwa ambapo hadi sasa zoezi hilo limeonesha kuwagharimu wamiliki wake baada ya vituo kufungwa.

millardayo.com imetembelea kwenye vituo hivyo na kufanikiwa kuzinasa picha hizi katika baadhi ya vituo maarufu vya mafuta katika maeneo ya Sinza na Mwenge DSM.

Mlimani City

TSN Bamaga

Total Mlimani City

Total Mlimani City

Total Mlimani City

Oil Com Mwenge karibu na kituo cha Kivulini

TSN Bamaga

State Oil Sinza Africa Sana

STATE OIL Sinza Afrika Sana

GBP Sinza Mori

Big Born Sinza Mori

Total Ubungo – Shekilango

Total Ubungo – Shekilango

Kobil, Sinza Superstar

Kobil, Sinza Superstar

Mtanzania aliyewahi kuweka rehani gari lake kumsadia kijana ada ya Shule…bonyeza PLAY kwenye VIDEO hii kutazama!!!

Soma na hizi

Tupia Comments