Burudani

Diamond kaweka rekodi East Africa ndani ya saa 16

on

Diamond amevunja rekodi ya Alikiba ambaye alikuwa msanii wa kwanza East Africa kupata views milioni moja kwa saa chache, So Diamond anakuwa msanii wa kwanza Easta Africa video yake kupata views milioni 1 Youtube chini ya masaa 20 toka iachiwe YouTube.

Ulipitwa na hii? Rick Ross amempost Diamond Platnumz leo

Soma na hizi

Tupia Comments