Top Stories

KESI YA MADINI YA ALMASI: Mahakamani tena leo

on

Upande wa Mashtaka kwenye kesi ya madini ya almasi iliyoisababishia serikali hasara ya Tsh.bilioni 2.4 hiyo umekamilika.

Kesi hii inawakabili Mkurugenzi wa Tathmini wa madini ya Almas, Archard Kalugendo (49) na Mtathmini wa madini, Edward Rweyemamu (50) wote wakiwa wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Madini.

Hata hivyo upande wa utetezi umeieleza mahakama hiyo kuwa wamewasilisha maombi ya dhamana katika Mahakama Kuu Divisheni Rushwa na Uhujumu Uchumi ‘Mahakama ya Mafisadi’.

Ulipitwa na hii? Siku 15 tangu kukamatwa Almasi Airport, watuhumiwa Mahakamani

Soma na hizi

Tupia Comments