Michezo

FULL HD:Kama ulimiss Marioo alivyowaimbisha mashabiki beer tamu ‘Simba DAY’

on

Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Marioo ambae time hii katusogezea Full HD ya video ikimuonesha namna alivyotoa burudani kwenye kilele cha wiki ya Simba yaani Simba day.

Unaweza ukabonyeza play kutazama kisha usisahau kuandikia chochote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.

Soma na hizi

Tupia Comments