Habari za Mastaa

Video ya sekunde 16 ya igizo jipya ikimuonyesha mpenzi wa Mbrazil Neymar.

on

Screen Shot 2014-02-07 at 11.28.22 PMBruna Marquezine ni mpenzi wa staa wa soka Mbrazil Neymar (22) ambae anaichezea Barcelona ambapo wameanza kuwa mapenzini toka mwaka 2013.

Bruna ametokea kwenye igizo jipya la TV nchini Brazil liitwalo Em Familia ambapo hii video hapa chini inaonyesha sehemu fupi tu ya episode ya kwanza ya hilo igizo lenyewe.

Ni binti wa miaka 18 tu lakini ni staa ambae jina lake lina ujazo sana Brazil kutokana na kuwa mpenzi wa Neymar lakini pia kutokana na kazi anazofanya ikiwemo uigizaji.

Screen Shot 2014-02-07 at 11.22.23 PM

Tupia Comments