Top Stories

Furaha ya Rais Magufuli azawadiwa jogoo, “kuku oyeee, Baba yangu kafariki nitakupa Mama” (+video)

on

Leo July 30, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amepewa zawadi ya jogoo na Mkazi wa Somanga akiwa njiani kurejea jijini DSM akitokea kwenye mazishi ya Mkapa.

MAGUFULI ALIVYOZWADIWA JOGOO “KUKU OYEEE’, AMTOA MAMA YAKE KWA MZEE

Soma na hizi

Tupia Comments