AyoTV

VIDEO: “Wapinzani wamenyoosha mikono kwa JPM” – Munde

on

Bunge lingali katika kujadili Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo leo June 13, 2017 Wabunge wameendelea kupewa nafasi ya kuchangia katika Bajeti hiyo na mmoja kati yao ni Mbunge wa Viti Maalum Tabora Munde Tambwe ambaye amelieleza Bunge kuwa wakati huu Wapinzani wamenyoosha mikono na kukubali hatua anazozifanya Rais JPM.

VIDEO: Lowassa afunguka, ampongeza Rais Magufuli kuhusu ripoti ya Madini 

Soma na hizi

Tupia Comments