Habari za Mastaa

Kuna chochote kati ya Future na Blac Chyna? Majibu yote yapo kwenye ‘Rich $ex’ – (Video)!

on

Ni FurahiDay na rapper kutoka Freebandz, Future anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani kwa kuisogeza single nyingine kutoka kwenye mixtape yake ya Dirty Sprite 2 (DS2).

Wimbo unaitwa ”Rich $ex” na video yake ipo hewani tayari lakini video queen kwenye hii ngoma mpya ni model na dancer, Blac Chyna staa ambaye wiki chache zilizopita aliweka headlines nyingi kwenye social media baada ya kuchora tattoo ya jina la rapper huyo mkonini mwake… ikasemekana ni wapenzi lakini Future akakanusha taarifa hizo!

chynafut2

Je ni kweli kuwa Future na Blac Chyna sio wapenzi? majibu yote yanaweza kupatikana kwenye hii video ya dakika nne hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments