Habari za Mastaa

Future anaisogeza kwako video wa wimbo wake: Kno The Meaning.

on

fut

Ni furahiday mtu wangu na msanii wa Hip Hop kutoka Marekani Future anaziandika headlines na ujio wa ngoma yake mpya iitwayo Kno The Meaning inayopatikana kwenye album yake mpya DS2 album inayofanya vizuri kwenye chati mbalimbali za muziki Marekani.

Nimekusogezea video hiyo hapa chini bonyeza play kuitazama.

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments