Habari za Mastaa

Behind the scenes ya video mpya ya Future ‘Where Ya At’ feat Drake isikupite mtu wangu. (Video).

on

fut22

Siku chache zilizopita niliisogeza kwako video mpya ya FutureWhere Ya At‘ aliomshirikisha rapper ,mwengine maarufu Drake. Lakini baada ya video hiyo kutoka na kupokelewa vizuri na mashabiki, Future kanona bora aendelee kutupa burudani

Rapper huyo karudi tena wiki hii kuweka headlines zake kwenye kurasa za burudani, anaisogeza  kwetu behind the scenes ya video yake mpya.

Kama uliipenda video wa wimbo huu mtu wangu, karibu utazme jinsi ilivyokuwa wakati inatengenezwa behind the scenes.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

 

Soma na hizi

Tupia Comments