Habari za Mastaa

Weekend hii Future anataka wimbo huu uwe kwenye playlist yako: ‘Where Ya At’ Feat. Drake (Video).

on

future3

Tukienda pande za Marekani Ijumaa hii nitakukutanisha na rapper maarufu Future ambaye kwa ushirikiano na rapper wengine maarufu na mkubwa kutoka Cash Money Records Drake wanaziandika headlines weekend hii kwenye kurasa za burudani.

future4

Baada ya kuachia DS2 Future kaona itakua sio poa tukikaa tu na kuboreka, kaona bora aendelee kutusogezea burudani baada ya burudani na time hii anaisogeza kwetu ngoma aliyoipa jina ‘Where Ya At’ kizuri zaidi ni kwamba hiphop staa kutoka Cash Money Records Drake ameshirikishwa.

fut2

Nimekusogezea video hiyo hapa chini mtu wangu karibu uitazame.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments