Habari za Mastaa

Kwenye selection yako weekend hii, iongeze na hii mpya kutoka kwa Future; ‘Colassal’ – (Video)!

on

Ni FurahiDay mtu wangu na msanii anayeziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani si mwengine bali ni Future, rapper na Mkurugenzi kutoka kutoka Frebandz.

Baada ya kuisogeza kwetu Last Breath single yake mpya ambayo pia ni official soundtrack kwenye movie mpya ya Sylvester Stallone ‘Creed’, weekend hii Future anaisambaza nyingine mpya, wimbo unaitwa Colassal na unapatikana kwenye no. 1 Album yake DS2, Album iliyofanikiwa kuikimbiza chati ya Billboard 200 miezi kadhaa iliyopita.

DAY2

Ofiicial music video ya Colassal ipo hewani tayari na inawezekana umeshakutana nayo, lakini kama mdundo huu haujagusa macho yako basi feel free kuicheki video hiyo hapa chini mtu wangu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments