AyoTV

VIDEO: Belle 9 kakubali kujiunga WCB? Kayaongea haya

on

Baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa msanii kutoka Bongoflevani Belle 9 yuko  tayari kujiunga na Lebel ya WCB ya  Diamond Platnumz, August 24,2016 2016 AyO TV pamoja na millardayo.com imekutana na Belle 9 na katoa majibu haya kutokana na taarifa hii ya kujiunga WCB.

Watu walitafsiri hivyo ila mimi nilienda kumtembelea kwasababu ninakubali anachokifanya mimi ni msanii ninayeweza kumtembelea msanii yoyote na wala sina makundi na wala sijajiunga WCB mimi bado niko kwenye uongozi wangu’

ITAZAME HII VIDEO HAPA UONE ALICHOKIZUNGUMZA BELLE 9 KUHUSU KUJIUNGA WCB 

ULIIKOSA HII YA RAYMOND WA WCB ALIVYOZAWADIWA GARI JIPYA NA UONGOZI WAKE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments