Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Majibu ya Chris Brown kuhusu kumvunjia simu shabiki Airport Mombasa
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Majibu ya Chris Brown kuhusu kumvunjia simu shabiki Airport Mombasa
MixStori Kubwa

Majibu ya Chris Brown kuhusu kumvunjia simu shabiki Airport Mombasa

October 14, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Mwimbaji staa kutoka Marekani Chris Brown October 8 2016 aliungana na wasanii wengine akiwemo Wizkid wa Nigeria, Vanessa Mdee, Alikiba na wengineo kutumbuiza kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music Festival lililofanyika  Golf Club Mombasa.

brown

Iliripotiwa kuwa staa huyo kuwa na tuhuma za kumvunjia shabiki Brenda Chepkoech simu alipowasili Airport Mombasa ambae alikuwa katika harakati za kutaka kupiga nae selfie, leo Oct 14 2016 kituo kikubwa cha habari cha Kenya, eDaily kimeripoti majibu aliyatoa Chris brown kuhusu tuhuma hizo na hiki ndicho alichokiongea staa huyo…

>>>”Brenda Chepkoech aliyenipa tuhuma za kumvunjia simu yake oct 8 2016 alikuwa anataka free tickets ili aweze kufika kwenye show hiyo’ – Chris Brown

Imeripotiwa kuwa dada huyo alikua anawafata Chris Brown na kundi zima kuomba ticket na kutaka kupiga selfie na staa huyo lakini ombi lake halikusikilizwa, chris aliwambia marafiki zake…

>>>’ Hata picha inaonyesha sikumsogelea dada huyo wala simu yake, Hapana sio uongo mwingine kuhusu mimi tafadhali’– Chris Brown

Mmoja waandaji wa show hiyo Thandie Ojeer alihojiwa na edaily na haya ndio aliyoyazungumza…

>>>’ Chris hakuwa na hasira kabisa, ilikuwa mara yake ya kwanza kufika Kenya na ame enjoy kuwepo Kenya, pia ameahidi kurudi siku moja na kukaa zaidi na kufanya tour next time– Thandie Ojeer

ULIMISS KUITAZAMA HII PERFOMANCE YA CHRIS BROWN KWENYE STAGE ZA MOMBASA ROCKS MUSIC FESTIVAL 2016? UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

 

You Might Also Like

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

List ya Wasanii wakubwa watakaoimba Tamasha la Pasaka 2023

TCDC na Makakati kukuza biashara kidijitali

TAGGED: Chris Brown Kenya, duniani
Millard Ayo October 14, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article AUDIO Mpya: Baada ya Pana… Hii ni mpya nyingine kutoka kwa Tekno Milles
Next Article Rekodi za mchezaji bora wa mwezi September wa EPL
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?