Habari za Mastaa

Baada ya Wimbo mpya wa Diamond, Hamisa asema “maisha yanaendelea uwepo au usiwepo”

on

November 27,2017 msanii Diamond Platnumz aliamua kuachia nyimbo zake mbili ambazo ni “Niache” na “Sikomi” na baadae mwanadada Hamisa Mobetto ambaye pia ni mzazi mwenza alipost kipande cha wimbo huo wa ‘Niache’ kupitia mtandao wake wa Snapchat na kisha kuandika ujumbe ambao umetafsiriwa kwa namna tofauti na wanaotumia mitandao hiyo.

Jambo hilo limefanya mashabiki waongee maoni yao, huku wengine wakisema Hamisa ameguswa na hivyo amemjibu Diamond baada ya mwanamuziki huyo kumhusisha kwenye wimbo wake huo, yeye pamoja na wapenzi wake wengine wa zamani.

VIDEO:“Ipo siku nitakufa, hakuna anayeishi milele” – WEMA SEPETU

Soma na hizi

Tupia Comments