Habari za Mastaa

Official Llyn kasema “Nilijipanga vizuri na maneno yao, Hamisa nitafanya naye kolabo”

on

Mrembo anayetamba mtandaoni baada ya kuingia kwenye muziki wa Bongofleva na kuachia wimbo wake mpya Official Llyn amesema kuwa anashukuru kuona mashabiki wamempokea vizuri na wimbo wake mpya unaoitwa ‘Chafu’ akiwa kama ndiye msanii mchanga anayeanza game.

Official llyn ameongezea kwa kusema alijipanga vizuri na maneno ya watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye kuingia kwenye muziki na kuhusu Hamisa Mobetto kasema tutegemee atafanya naye kolabo.

Kutazama Interview  ya Official Llyn Bonyeza PLAY hapa chini

EXCLUSIVE: GIGY KAPIGWA, AANDAA MWANASHERIA AMFUNGE MO J

Soma na hizi

Tupia Comments