Habari za Mastaa

G Nako, Shetta na Billnass waachia video mpya ‘tumeokoka”

on

Mabibi na Mabwana mnaoutazama mbele yenu ni muungano wa G Nako, Billnass na Shetta kwenye goma lao jipya la pamoja linaitwa ‘tumeokoka’ ambapo humo ndani wameeleza vitu ambavyo wamemalizana navyo baada ya kuokoka.

KUTANA NA BEATRICE, MUUZA KEKI MPAMBANAJI MWENYE MASTERS MBILI…

Soma na hizi

Tupia Comments