Burudani

VIDEO: Kigugumizi cha Rihanna alipouzwa matarajio ya kuwa na mtoto

on

Ni Headlines za msanii kutokea Marekani Rihanna ambae amekaa kwenye kikaango na mtangazaji wa jarida la Vogue aitwa Anna Wintour.

Staa huyo anaetarajiwa kukava jarida hilo la Vogue mwezi Novemba miongoni mwa maswali aliyoulizwa na Anna kuhusu matarajio ya kuwa na mtoto, itazame hii video ujionee alichokijibu.

 

Mrembo huyo atatokea kwenye jarida hilo kwenye toleo la mwezi Novemba 2019

Soma na hizi

Tupia Comments