Video Mpya

AudioMPYA: Baada ya penzi kunoga, Ben Pol kaamua kuiachia ‘Wakuone’

on

Baada ya mwimbaji Ben Pol kutuonesha sehemu ya bata analokula na mpenzi wake hatimaye leo January 15, 2018 ameachia Audio mpya inayoitwa ‘Wakuone’ na kama unafuatilia wimbo huu ulishawahi kusikia kwenye video alizokuwa akijirecord yeye na mpenzi wake.

Bonyeza PLAY hapa chini kuisikiliza AUDIO hiyo mwanzo mwisho.

IMEFICHUKA!! MCHUNGAJI AMCHARUKIA MAMA AMBER RUTTY “NATUMAGA HELA YA MATUMIZI”

Soma na hizi

Tupia Comments